• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania:Arusha yataka mjadala wa changamoto za madini

    (GMT+08:00) 2018-05-31 18:57:51

    Wafanyibiashara wa madini mkoani Arusha, wametaka kuandaliwa Jukwaa la Fursa la Kibiashara la tanzanite, kuzungumzia changamoto zinazowakabili.

    Wamesema sekta ya madini ni moja ya sekta kubwa nchini, inayoinua uchumi wa nchiijapokuwa , ina changamoto kubwa zinazopaswa kutatuliwa.

    Mmoja wa wafanyabiashara wa madini ya tanzanite, Japhet Shoo,

    ni lazima serikali ijiulize ni kwa nini bado mpaka sasa haijanufaika na madini ya tanzanite.

    Amesema jambo kubwa linalowasumbua wamiliki na wachimbaji wa madini ni upatikanaji wa zana za uchimbaji, kwani shughuli hiyo inapaswa kufanywa na wafanyabiashara wengi na kwa bei poa. Aliomba serikali kuondoa kodi ya uingizaji wa zana za uchimbaji.

    Changamoto nyingine inayowakabili wamiliki wa migodi ni zana za uchimbaji, kwa kuwa zinauzwa na watu wachache.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako