• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi wanachama wa SCO kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara

    (GMT+08:00) 2018-05-31 18:58:32

    Mkutano wa wakuu wa Jumuiya ya ushirikiano wa Shanghai SCO utafanyika tarehe 9 hadi 10 mwezi ujao huko Qingdao, mkoani Shandong, China.

    Msemaji wa wizara ya biashara ya China Bw. Gao Feng leo hapa Beijing amesema, nchi wanachama wa jumuiya hiyo watashirikiana kufanya juhudi kwa pamoja ili kufikia hatua za pamoja kuhusu uchumi na biashara kwenye mkutano huo, kuinua kiwango cha ushirikiano wa kiuchumi wa kikanda, na kuwanufaisha watu wa kanda hiyo.

    Takwimu zinaonesha kuwa, mwaka 2017 thamani ya jumla ya biashara kati ya China na nchi nyingine wanachama wa jumuiya ya SCO ilifikia dola za kimarekani bilioni 217.6, ambapo imeongezeka kwa asilimia 19 kuliko mwaka 2016.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako