• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tume ya uchaguzi Iraq yasema matokeo ya uchaguzi yanaweza tu kubatilishwa na mahakama kuu

    (GMT+08:00) 2018-06-01 09:27:18

    Tume huru ya uchaguzi ya Iraq imesema matokeo ya uchaguzi wa wabunge uliofanyika Mei 12 yanaweza kubatilishwa na mahakama kuu tu. Mkuu wa tume hiyo Bw. Riyadh al-Badran amesema tume yake inasubiri uamuzi wa mahakama kuu kuhusu ni kama ni sehemu ya kura au kura zote zitahesabiwa upya. Siku moja mapema, rais Fuad Masoum wa Iraq alituma ombi kwa mahakama kuu kuhusu uhalali wa Baraza la mawaziri kuteua kamati maalumu, kwa ajili ya kuchunguza tuhuma za udanganyifu na ukuikaji wa kanuni kwenye uchaguzi wa wabunge.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako