• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Libya asisitiza umuhimu wa mkutano wa Paris katika kukomesha msukosuko wa kisiasa

    (GMT+08:00) 2018-06-01 09:27:37

    Waziri mkuu wa Libya Bw. Fayez Serraj anayeungwa mkono na Umoja wa Mataifa amesema mkutano wa Paris uliofanyika Jumanne ni muhimu katika kumaliza msukosuko wa kisiasa nchini humo. Bw. Serraj amesema hayo alipokutana na kamanda wa kamandi ya Jeshi la Marekani barani Afrika Africom Bw. Thomas Waldhauser, na balozi mdogo wa Marekani nchini Libya Bibi Stephanie Williams. Taarifa iliyotolewa na ofisi ya waziri mkuu huyo inasema mkutano huo ulijadili taratibu za kutekeleza mapendekezo yaliyotolewa kwenye mkutano wa Paris kuhusu Libya, na juhudi za pamoja za kupambana na kundi la Islamic State.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako