• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Giuseppe Conte ateuliwa kuwa waziri mkuu wa Italia

    (GMT+08:00) 2018-06-01 09:27:55

    Ikulu ya Italia imesema profesa Giuseppe Conte ameteuliwa kuwa waziri mkuu mpya wa Italia, na serikali yake ya umoja itaapishwa saa kumi leo alasiri kwa saa za huko. Baada ya kuteuliwa kuchukua wadhifa huo, Bw. Conte amesema serikali yake y itatoa kipaumbele katika kuboresha maisha ya watu wa Italia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako