• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Abiria 25 watekwa nyara Nigeria

    (GMT+08:00) 2018-06-01 09:51:20

    Abiria wasiopungua 25 wa basi wametekwa nyara na watu wenye silaha katika jimbo la Kaduna, kaskazini magharibi mwa Nigeria.

    Tukio hilo limetokea wakati rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ametoa wito wa kuimarisha uhusiano kati ya nchi za Afrika Magharibi ili kutatua matishio yanayoongezeka ya waasi na majambazi.

    Kiongozi huyo wa Nigeria pia ameonya kuwa mapambano ya pamoja ni njia pekee ya kuondoa matishio hayo kwa maisha na mali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako