• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria ahimiza Marekani kuondoka eneo la al-Tanf

    (GMT+08:00) 2018-06-03 18:26:11

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Bw. Walid al-Moallem amesema Marekani inapaswa kuondoka katika eneo la al-Tanf, kusini mwa Syria.

    Bw. Moallem amesema hayo katika mkutano na waandishi wa habari, ambapo ameongeza kwamba, tofauti na nchi za Marekani, Ufaransa na Uturuki zilizoingia Syria bila ruhusa, kuwepo kwa Irani nchini Syria ni kwa ajili ya washauri wa kijeshi wa Iran wanaosaidia jeshi la Syria.

    Bw. Moallem pia amesema kuwa Iran imeiunga mkono Syria katika mapambano dhidi ya ugaidi tangu mwanzo wa mgogoro wa Syria, na inatamani kushirikiana na upande wowote unaotaka kupambana na ugaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako