• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jiwe dogo kutoka anga ya juu laonekana jumamosi na kusambaratika barani Afrika

    (GMT+08:00) 2018-06-04 18:33:02

    Jiwe dogo kutoka anga ya juu limegundulika jumamosi na kusambaratika juu ya bara la Afrika saa chache baadaye.

    Idara ya Anga ya Juu ya Marekani (NASA) imesema, jiwe hilo dogo lilikadiriwa kuwa na urefu wa mita 2, na liliingia kwenye anga ya dunia kwa kasi ya maili 10 kwa sekunde, kisha kusambaratika maili kadhaa juu ya anga ya dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako