• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: serikali inataka kampuni zote za mawasiliano kuoroodheshwa kwenye soko la hisa la Uganda.

    (GMT+08:00) 2018-06-04 20:31:18

    Wizara ya fedha ya Uganda wiki hii inapanga kuweka mezani, mbele ya baraza la mawaziri karatasi ya sera ya serikali ambayo inataka kampuni zote za mawasiliano kuoroodheshwa kwenye soko la hisa la Uganda.

    Kulingana na waziri wa Fedha Matia Kasaij hakuna kampuni yeyote ya mwasiliano nchi Uganda, iliyoorodheshwa kwenye soko la hisa.

    Hii sio mara ya kwanza serikali imependekeza orodha ya lazima kwa kampuni za mawasiliano na makampuni zengine makubwa.

    Ingawa, bw: Kasaija hajaeleza sababu za Wizara ya Fedha kuanzisha orodha ya lazima, hatua hiyo inaonekana wazi kama mojawapo ya njia ambayo serikali inapanga kukusanya mapato ya ndani ili kufikia malengo ya sera.

    Bunge la Taifa nchini Tanzania, lilipitisha mswada wa Fedha 2016 ambalo linafanya kuwa lazima kwa kampuni zote za mawasiliano zinazofanya kazi nchini kuorodheshwa kwenye soko la hisa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako