• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: makampuni ya ndani ya bahati na sibu yamejianda kutengeneza fedha zaidi.

    (GMT+08:00) 2018-06-04 20:31:35

    Chini ya siku 8 zilizobakia ndio tueleke kwenye kinyangiro cha kombe la duniani, makampuni ya ndani ya bahati na sibu yamejianda kutengeneza fedha zaidi kutoka kwa mashabiki wa bahati na sibu.

    Ingawa mchezo wa bahati na sibu ni kitu kimpya nchini Rwanda ikilinganishwa na nchi zengine za kikanda, kampuni hizo zinahimiza kila aina ya mtu kuweka fedha katika tukio kubwa la kinyangiro cha kombe la duniani.

    Mnamo mwaka 2016, Wizara ya Biashara na Viwanda ilionyesha kuwa mchezo wa bahati na sibu ulichangia zaidi ya dola milioni 1.2 kwa uchumi wa nchi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako