• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zanzibar: Dkt Ali Mohammed Shein amezipongeza taasisi za fedha kwa msaada wa kujenga uchumi wa Z'bar

    (GMT+08:00) 2018-06-04 20:32:24

    Rais wa ZANZIBAR, Dkt Ali Mohammed Shein amezipongeza taasisi za fedha kwa msaada wao katika kujenga uchumi wa Zanzibar, na kuwahimiza kuweka mazingira mazuri kwa wateja wao kwa kutumia teknolojia ya kisasa.

    Aidha amesema Uchumi wetu Zanzibar umekuwa ukifanya vizuri kila mwaka na hii imechangiwa na taasisi mbalimbali za kifedha.

    Benki hutoa ajira na kulipa kodi kwa wakati.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako