• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanawake waruhusiwa kuanza kuendesha magari Saudi Arabia

    (GMT+08:00) 2018-06-05 08:54:41

    Saudi Arabia imeanza kutoa leseni za kuendesha magari kwa wanawake, baada ya kuwapiga marufuku kufanya hivyo kwa miongo kadhaa. Wiki iliyopita Saudi Arabia ilitangaza utayari wa kuwaruhusu wanawake kuendesha magari kuanzia Juni 24, baada ya mfalme wa nchi hiyo Salman bin Abdulaziz Al Saud kuamuru mwezi Septemba mwaka jana kuwaruhusu wanawake kuendesha magari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako