• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mbio za Baiskeli, Uwizeyimana wa Rwanda kwa ushindi wa michuano ya Cameroun

  (GMT+08:00) 2018-06-05 09:53:16

  Wadau wa michezo wameendelea kumpongeza mwendesha baiskeli Bonaventure Uwizeyimana kufuatia ushindi wa jumla aliopata kwenye mashindano ya kimataifa yam bio za baiskeli yaliyomalizika jumapili nchini Cameroun.

  Katika mashindano hayo ya siku tisa, Uwizeyimana alitumia saa 21 dakika 53 na sekunde 20 katika umbali wa kilomita 936.

  Mshindi wa pili katika mbio hizo ni Martin Haring aliyetumia saa 21 dakika 56 na sekunde 58, huku timu ya taifa ya Rwanda ikitangazwa mabingwa baada ya wachezaji wake kurekodi muda mzuri kitakwimu katika mbio hizo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako