• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yashuhudia uchumi tulivu kwa mwezi Mei

    (GMT+08:00) 2018-06-05 18:19:50

    Ripoti iliyotolewa na Benki ya Standard Chartered imeonyesha kuwa, China imeshuhudia utulivu katika ukuaji wa uchumi mwezi Mei, ukiungwa mkono na data thabiti.

    Ripoti hiyo imesema, alama ya usimamizi wa manunuzi PMI imeongezeka kwa asilimia point 0.5 na kufikia 51.9 mwezi Mei, ikiwa ni ya juu zaidi tangu Septemba mwaka jana, ikiashirikia uzalishaji thabiti. Pia ripoti hiyo imesema, utendaji wa biashara unatarajiwa kuendelea kuwa tulivu, na Benki hiyo inakadiria kuwa, pato la biashara litaongezeka na kufikia dola za kimarekani bilioni 33.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako