• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uzalishaji wa umeme kwa nishati endelevu waongezeka kwa kiasi kikubwa mwaka 2017

    (GMT+08:00) 2018-06-05 18:29:21

    Ripoti iliyotolewa jana kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya nishati endelevu duniani mwaka 2018 inaonesha kuwa, asilimia 70 ya umeme ulioongezeka mwaka jana duniani umezalishwa kwa nishati endelevu, na mwaka huo umeshuhudia ongezeko la kasi zaidi la uzalishaji wa umeme kwa nishati endelevu.

    Ripoti hiyo inasema, uwekezaji katika sekta ya umeme unaozalishwa kwa nishati endelevu ni mara mbili ya uwekezaji kwa umeme uliozalishwa kwa nishati ya kisukuku na nishati ya nyukilia. Uwekezaji wa Marekani na China kwenye umeme uliozalishwa na nishati endelevu kwa mwaka jana umechukua aslimia 75 ya thamani ya jumla ya uwekezaji kwenye umeme uliozalishwa kwa nishati endelevu duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako