• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe maalumu wa rais Xi Jinping wa China kuhudhuria ufunguzi wa kombe la dunia

    (GMT+08:00) 2018-06-05 19:16:13

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying amesema, mjumbe maalumu wa rais Xi Jinping wa China ambaye pia ni naibu waziri mkuu wa China Bw. Sun Chunlan ataenda Russia kuanzia Juni 12 hadi 15 kuhudhuria ufunguzi wa kombe la dunia .

    Kabla ya hapo, bibi Hua pia amesema rais Vladimir Putin wa Russia atafanya ziara nchini China na kuhudhuria mkutano wa kilele wa Shirika la Ushirikiano wa Shanghai SCO utakaofanyika huko Qingdao, mashariki mwa China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako