• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya dunia yaonya dhidi ya hatari ya kushuka kwa uchumi wa dunia

    (GMT+08:00) 2018-06-06 09:31:57

    Benki ya dunia imeamua kudumisha makadirio yake kuhusu ukuaji wa uchumi wa dunia kwa mwaka huu na mwaka kesho, lakini imetahadharisha dhidi ya mchanganyiko wa hatari za kusababisha kushuka kwa uchumi wa dunia, ikiwemo kupamba moto kwa hatua za kujilinda kibiashara. Ripoti mpya ya Benki ya dunia inakadiria kuwa uchumi wa dunia utakua kwa asilimia 3.1 na asilimia 3.0 kwa mwaka huu na mwaka kesho mtawalia, kama ilivyokadiriwa mwezi Januari, na uchumi wa China utaongezeka kwa asilimia 6.5 mwaka huu, asilimia 0.1 kasi zaidi kuliko makadirio ya mwezi Januari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako