• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Usajili wa wachezaji: Bayisenge wa Rwanda aingia mkataba na USM Algeria

    (GMT+08:00) 2018-06-06 10:11:01

    Mchezaji wa kimataifa wa mpira wa miguu kutoka Rwanda, Emery Bayisenge amefuzu vipimo vya afya kwa ajili ya kujiunga na klabu ya USM Algiers ya Algeria.

    Beki huyo wa zamani wa timu ya APR, anajiunga na USM akitokea klabu ya Sportive el Massira ya Morocco aliyojiunga nayo mwaka jana.

    Kwa kusajiliwa na timu hiyo, sasa mchezaji huyo atashiriki mechi ya kombe la shirikisho kwa vilabu Afrika kati USM na Rayon Sport ya Rwanda itakayopigwa Julai 18 mjini Kigali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako