• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Usajili wa Wachezaji: Arsenal na Man United zafanikisha jana

    (GMT+08:00) 2018-06-06 10:11:57

    Kocha mkuu mpya wa klabu ya Arsenal Unai Emery amekamilisha usajili wake wa kwanza baada ya yimu yake kusaini mkataba na beki wa zamani wa Juventus Stephan Lichtsteiner raia wa Uswisi.

    Nayo Man United jana imekamilisha zoezi la kumsajili mchezaji wa nafasi ya kiungo wa kutoka Brazil Fred kutoka katika klabu ya Shakthar Donetsk ya Ukraine na sasa timu hiyo inakamilisha taratibu za kumsajili beki Dalot kutoka FC Porto.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako