• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu karibu 200 bado hawajulikani walipo kufuatia mlipuko wa volcano nchini Guatemala

    (GMT+08:00) 2018-06-06 10:56:27

    Watu karibu mia mbili bado hawajulikani walipo kufuatia mlipuko wa volkano ya Fuego nchini Guatemala.

    Kwa mujibu wa takwimu mpya kutoka Taasisi ya Taifa ya Sayansi Misitu ya Guatemala, idadi ya vifo vilivyotokana na mlipuko huo imefikia 75.

    Volcano ya Fuego ililipuka Jumapili mchana na baadaye uji wa volcano hiyo ukaanza kusambaa. Idara ya Udhibiti wa Maafa ya nchi hiyo imesema huu ni mlipuko mkubwa zaidi ulioshuhudiwa katika miaka ya hivi karibuni.

    .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako