• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wang Yang kufanya ziara ya kirafiki nchini Jamhuri ya Kongo, Uganda na Kenya

    (GMT+08:00) 2018-06-06 18:33:06

    Mwenyekiti wa Mkutano wa Mashauriano ya Kisiasa ya Watu wa Kitaifa wa China Bw. Wang Yang, anatarajiwa kufanya ziara rasmi ya kirafiki katika nchi za Jamhuri ya Kongo, Uganda na Kenya kuanzia tarehe 11 hadi 20 mwezi huu.

    Katika ziara hiyo, Wang atabadilishana maoni na vongozi wa nchi husika kuhusu masuala mbalimbali ya pande mbili na ya kimataifa yanayofuatiliwa nazo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako