• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Askari watano wauawa katika mlipuko wa bomu mpakani mwa Kenya

    (GMT+08:00) 2018-06-06 19:31:58

    Askari watano wa jeshi la polisi nchini Kenya wameuawa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kukanyaga bomu lililotegwa kando ya barabara katika mji wa mpaka kati ya nchi hiyo na Somalia leo asubuhi.

    Kamishna wa polisi wa kaunti ya Kirinyaga Joshua Chepchieng amethibitisha tukio hilo, akisema askari polisi hao walikuwa wakielekea kwenye kituo cha mpakani cha Liboi wakati gari lao lilipokanyaga bomu hilo.

    Hakuna kundi lolote lililokiri kuhusika na shambulizi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako