• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Kenya kupunguza uzalishaji wa kawi ya Coal

    (GMT+08:00) 2018-06-06 19:43:16

    Kenya inalenga kupunguza nusu ya uzalishaji wa mradi wa kawi ili kuzuiya kupata umeme wa kupita kiasi.

    Tume ya kawi nchini Kenya (ERC) imeshurutisha wazalishaji wa mradi huo wa megawati 1050 kupunguza hadi 350 kwa mda wa miezi 42 ya kwanza.

    Mkurugenzi mkuu wa tume hiyo Frederick Nyang amesema wawekezaji wa kimataifa na kitaifa wamemetaka kutenegeneza mradi wa kuzalisha zaidi ya megawati elfu 4 za kawi nchini Kenya lakini miradi hiyo huenda ikatumia fedha nyingi.

    Kwa sasa Kenya inahitaji megawati 2336 na ni 1770 zilizopo.

    Watumiaji wa umeme watalipa shilingi bilioni 37 kila mwaka kwa miradi hiyo ya kawi.

    Wizara ya kawi nchini Kenya imeahidi kuanza mradi huo mwaka huu

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako