• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Madaktari kutoka Cuba wawasili nchini

    (GMT+08:00) 2018-06-06 19:43:43

    Kundi la kwanza la madkatari 50 kutoka Cuba limewasili jijini Nairobi wiki hii huku wengine 50 wakitarajiwa kufika wiki ijayo.

    Madaktari hao watafanyiwa utambulisho kwaidara mbali mbali za afya nchini Kenya kupitia kwa shule ya sayansi ya serikali kwa wiki mbili kabla ya kufikishwa katika kaunti zote 47 kwa utekelezaji wa kazi ya kuhudumia wagonjwa.

    Miongoni mwa madaktari hao watakuwa ni pamoja na wahudumu ubongo,saratani,upasuaji maalum na upasuaji wa jumla.

    Serikali ya Kenya imesema mbali na kuwapa kazi wahudumu wa afya wa Kenya wanatarajiwa kujifunza kutoka kwao .

    Madkatari hao wamepokelewa na gavana wa Kisumu Anyang Nyongo na katibu mkuu Rashid Aman.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako