• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwanariadha Leonard Bett kwenda kuonyesha kipaji chake nchini Finland

    (GMT+08:00) 2018-06-07 09:03:00
    Mwanariadha Leonard Bett wa Kenya anajiandaa kwa michezo ya mchujo kuelekea Finland kwenye michuano ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 20 itakayofanyika julai 20 hadi 24. Bett atashiriki kwenye michezo majaribio inayotarajiwa kufanyika jumatatu na jumanne kwenye Uwanja wa Kasarani. Akiwa ni bingwa wa mbio za mita kuruka viunzi na maji, anakutana na vigogo kwenye mchezo huo kama vile Conceslus Kipruto. Chama cha mchezo wa Riadha cha Kenya AK kimesema kinatarajia vijana wengi kujitokeza kwenye michezo hiyo na kupimwa kuthibitisha umri wao.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako