• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mwanandondi Floyd Mayweather aongeza kati ya wanamichezo tajiri duniani

  (GMT+08:00) 2018-06-07 09:27:09

  Jarida la Forbes ambalo limekuwa na utamaduni wa kuandika habari zenye utafiti kutokana na uchunguzi wao, leo limetaja list ya wanamichezo wanaoongoza kulipwa pesa nyingi kwa mwaka. List hii iliyotolewa na Forbes ni kuanzia June 2017 hadi June 2018 ambapo bondia Floyd Mayweather ndio ameongoza katika list hiyo akiwa na katika cha dola za kimarekani milioni 282, akifuatiwa na Lionel Messi na kibanda chini ya nusu ya Mayweather dola za KLimarekani milioni 111, watatu Cristiano Ronaldo mwenye dola milioni 108. Katika TOP 10 hii hakuna list ya mwanamichezo wa kike aliyefanikiwa kuingia katika TOP 10 ya wanamichezo wanaolipwa pesa nyingi.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako