• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa China na Kyrgyzstan wakutana hapa Beijing

    (GMT+08:00) 2018-06-07 09:29:28

    Rais Xi Jinping wa China tarehe 6 mchana hapa Beijing alikutana na rais Sooronbay Zheenbekov wa Kyrgyzstan, ambapo walikubaliana kuanzisha uhusiano wa kiwenzi na kimkakati wa pande zote kati ya nchi hizo mbili, na kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kirafiki.

    Hafla ya kumkaribisha rais Sooronbay Zheenbekov wa Kyrgyzstan

    Marais wa China na Kyrgyzstan wakihudhuria hafla ya kusaini makubaliano ya kuanzisha uhusiano wa wenzi wa kimkakati kati ya nchi hizo mbili tarehe 6 Juni mwaka 2018

    Ripoti kuhusu barabara kati ya China na Kyrgyzstan

    Rais Xi Jinping akitoa hotuba kwenye mkutano wa kilele wa jumuiya ya ushirikiano wa Shanghai uliofanyika mwezi Septemba mwaka 2013 mjini Bishkek

     

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako