• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda yawakamata maofisa wa serikali za mitaa kwa kosa la udokozi, na upendeleo

    (GMT+08:00) 2018-06-07 10:11:19

    Idara ya upelelezi ya Rwanda RIB imesema, maofisa wasiopungua watano wa serikali za mitaa za Rwanda wamekamatwa kutokana na udokozi wa fedha za umma, upendeleo na matumizi mabaya ya mali.

    Maofisa hayo waliokamatwa na RIB ni pamoja na naibu meya wa wilaya ya Burera kaskazini mwa Rwanda anayeshughulikia mambo ya uchumi, katibu mtendaji wa wilaya hiyo, meya wa zamani na naibu meya wa zamani.

    RIB pia inawataka wananchi watoe habari kuhusu vitendo vya udokozi wa fedha za umma.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako