• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanafunzi milioni 9.75 washiriki kwenye mtihani wa taifa wa kujiunga na vyuo vikuu China

    (GMT+08:00) 2018-06-07 11:08:11

    Wanafunzi milioni 9.75 wameshiriki kwenye Mtihani wa taifa wa kujiunga na vyuo vikuu nchini China ulioanza rasmi leo asubuhi.

    Idadi hiyo imeongezeka kwa laki 3.5 kuliko mwaka jana, na kuwa kubwa zaidi katika miaka nane iliyopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako