• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yapenda kushirikiana na Kyrgyzstan kutoa uhakikisho wa sheria na sera kwa ushirikiano wa "Ukanda Mmoja na Njia Moja"

    (GMT+08:00) 2018-06-07 18:40:38

    Spika wa bunge la umma la China Bw. Li Zhanshu amekutana na rais Sooronbay Zheenbekov wa Kyrgyzstan hapa Beijing.

    Bw. Li amesema, bunge la China linapenda kufanya juhudi pamoja na Kyrgyzstan kutoa uhakikisho wa kisheria na sera kwa ushirikiano wa "Ukanda Mmoja na Njia Moja" na kuhimiza maendeleo ya uhusiano wa kimkakati na wenzi wa pande zote kati ya nchi hizo mbili.

    Rais Zheenbekov amesema, uhusiano na China ni kipaumbele cha Kyrgyzstan. Nchi hiyo inapenda kuimarisha mapambano dhidi ya makundi ya kigaidi, kuunga mkono pendekezo la "Ukanda Mmoja na Njia Mmoja" na mawasiliano kati ya mabunge ya nchi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako