• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • TRA kuja mbinu mpya ya kudhibiti rushwa

  (GMT+08:00) 2018-06-07 20:21:24

  Mamlaka ya mapato Tanzania imesema imepata dawa ya kumaliza mianya ya rushwa TRA kwa kuanzisha matumizi ya mfumo mpya wa kielektroniki ambapo wafanyabiashara na walipa kodi watakuwa wakilipa moja kwa moja badala ya kukutana uso kwa uso.

  Awali,maafisa wa TRA walikuwa wanakutana na walipa kodi dirishani na maofisini,hali ambayo ilichangia ushawishi wa kutoa rushwa hivyo kuharibu taswira ya TRA kupunguza mapato ya serikali sambamba na kuchangia ugumu wa kufanya biashara nchini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako