• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Fainali ya SportsPesa Super Cup ni Simba na Gor Mahia

    (GMT+08:00) 2018-06-08 09:02:46

    Kwenye mchezo wa nusu fainali ya pili ya SportPesa Super Cup kati ya Singida United dhidi ya Gor Mahia uliochezwa jana katika uwanja wa Afraha Nakuru nchini Kenya na kuhudhuriwa na mashabiki mbalimbali. Gor Mahia wakiwa nyumbani na mashabiki wengi uwanjani, wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Singida United, ushindi huo sasa unaifanya Gor Mahia kuingia fainali ya SportPesa Super Cup na watacheza dhidi ya Simba SC. Wao Singida United watawania nafasi ya tatu dhidi ya Kakamega Home Boys, ambao wao walitolewa mapema katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza dhidi ya Simba SC.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako