• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • England yaendelea kufanya vizuri maandalizi ya kombe la dunia

    (GMT+08:00) 2018-06-08 09:04:06

    Timu ya England imeendelea kufanya vizuri kwenye maandalizi ya kombe la dunia, kwa kupata ushindi wa pili mfululizo dhidi ya timu pinzani. Baada ya kuwachapa Nigeria kwa magoli mawili kwa moja, jana wachezaji Marcus Rashford na Danny Welbeck walitikisa nyavu mara mbili na kuipatia ushindi timu yao. Katika mechi nyingine Ureno waliichapa Algeria magoli matatu kwa bila katika mchezo uliofanyika Lisboa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako