• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NATO kuzindua ofisi mpya mbili za uongozi wa kijeshi nchini Marekani na Ujerumani

    (GMT+08:00) 2018-06-08 09:51:48

    Mawaziri wa ulinzi wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO wamekubaliana kuzindua ofisi mpya mbili za uongozi wa kijeshi nchini Marekani na Ujerumani ili kusaidia kulinda miambao ya bahari ya Atlantiki na kuunga mkono shughuli za ugavi na uhamaji wa kijeshi barani Ulaya. Mawaziri hao wamekutana jana na leo mjini Brussels kufanya maandalizi kwa ajili ya mkutano wa kilele wa mwezi ujao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako