• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia yapokea wakimbizi 29,211 katika miezi mitano ya kwanza ya mwaka huu

    (GMT+08:00) 2018-06-08 09:53:04

    Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema Ethiopia imepokea wakimbizi zaidi ya elfu 29 katika miezi mitano ya kwanza ya mwaka huu, idadi ambayo imefanya idadi ya wakimbizi nchini humo kufikia zaidi ya laki 9.2, na kuifanya Ethiopia kuwa nchi ya pili inayowapokea wakimbizi kwa wingi barani Afrika baada ya Uganda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako