• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping: China na Kazakhstan zimetangulia katika ujenzi wa jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja

    (GMT+08:00) 2018-06-08 10:23:52
    Rais Xi Jinping: China na Kazakhstan zimetangulia katika ujenzi wa jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja

    Rais Xi Jinping amesema China inapenda kushirikiana na Kazakhstan kutangulia katika ujenzi wa jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja, na kushirikisha watu wenye busara na nguvu ili kuanzisha mustakabali mzuri zaidi.

    Tarehe 7 Juni, rais Xi Jinping alimwandalia hafla ya kumkaribisha rais Narsutan Nazarbaev wa Kazakhstan kwenye uwanja ulioko mashariki ya jumba la mikutano la umma hapa Beijing.

    Mwezi Juni mwaka 2017, kwenye jumba la China la Maonesho ya kimataifa ya Astana, rais Xi Jinping akimwalika rais Nazarbaev kujaribu kuendesha treni ya kasi kwenye mfano wa treni.

    Mwezi Juni mwaka 2017, kwenye jumba la China la Maonesho ya kimataifa ya Astana, rais Xi Jinping na rais Nazarbaev wakizindua njia ya usafirishaji kati ya China na Kazakhstan

    Treni iliyobeba ngano kutoka Kazakhstan ikiingia kwenye kituo cha usambazaji wa bidhaa mjini Lianyungang, China.

    Kundi la pamoja la wapiga filamu na waigizaji kutoka China na Kazakhstan la filamu ya Wanamuziki

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako