• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Ethiopia kufanya ziara nchini Uganda

    (GMT+08:00) 2018-06-08 18:48:38
     

    Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed amekwenda nchini Uganda ambako atafanya ziara rasmi ya siku mbili.

    Hivi karibuni, ikulu ya Uganda ilitangaza kuwa, Bw. Ahmed, ambaye anatarajiwa kukutana na rais Yoweri Museveni wa Uganda ambapo watafanya majadiliano kuhusu masuala ya pande mbili na ya kikanda, kesho atapewa medali ya "Tunu ya Afrika" katika hafla ya kuwasherehekea mashujaa wa Uganda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako