• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Marais wa China na Russia wakubaliana kuimarisha maendeleo ya uhusiano wa nchi hizo mbili

  (GMT+08:00) 2018-06-08 19:32:05

  Rais Xi Jinping wa China na rais Vladmir Putin wa Russia wamekubaliana kuinua zaidi uhusiano wa pande hizo mbili ufikie kiwango cha juu zaidi.

  Marais hao wamefikia makubaliano hayo katika mazungumzo yao hapa Beijing. Aidha, Rais Xi Jinping wa China hapa Beijing amemkabidhi rais Vladimir Putin wa Russia medali ya kwanza ya Urafiki ya Jamhuri ya Watu wa China.

  Rais Xi amesema, rais Putin ni raifiki yake mkubwa. Kupitia fursa hiyo, anatakia ustawi wa China na Russia, watu wao kuishi maisha mazuri na kutumai urafiki kati ya watu wa nchi hizo mbili kudumu milele.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako