• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa China atoa mapendekezo matano yatakayoifanya SCO iwe jamii ya binadamu yenye hatma ya pamoja

  (GMT+08:00) 2018-06-10 11:57:12

  Rais Xi Jinping wa China ametoa mapendekezo matano yatakayoifanya Jumuiya ya Ushirikiano ya Shagnhai, SCO iwe jamii ya binadamu yenye hatma ya pamoja na kuhimiza uanzishwaji wa uhusiano mpya wa kimataifa.

  Rais Xi amesema hayo alipohutubia mkutano wa kilele wa wakuu wa nchi wanachama wa SCO unaofanyika huko Qingdao, China. Rais Xi amesema mapendekezo hayo ni moja na kuongeza mshikamano na uaminifu, kutekelezaji mwongozo wa mwaka 2019-2021 wa ushirikiano wa kupambana na ugaidi, ufarakanishaji na siasa kali, kutengeneza kwa pamoja injini kubwa ya kuleta ustawi, kuimarisha mawasiliano na ushirikiano wa utamaduni, na kupanua wigo wa ushirikiano wa kimataifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako