• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Nchi za Jumuiya ya SCO zaahidiana kulinda amani na utulivu wa kikanda

  (GMT+08:00) 2018-06-10 14:52:55

  Rais Xi Jinping amesema, pande zilizoshiriki mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai SCO uliofanyika Qingdao, China, zimekubaliana kuwa mambo ya usalama ni msingi wa kuleta maendeleo enelevu ya jumiya hiyo.

  Amesema pande hizo zitatekeleza makubaliano kuhusu kupambana na ugaidi, ufarakanishaji na siasa kali, kuzidi kubadilishana taarifa na kuchukua hatua kwa pamoja na kuimarisha ujenzi wa mambo ya sheria na uwezo, ili kupata mafanikio katika kupambana na masuala hayo pamoja na biashara haramu ya dawa za kulevya, uhalifu wa kimataifa na uhalifu kupitia mtandao wa Internet.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako