• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kyrgyzstan yakabidhiwa uenyekiti wa zamu wa SCO

  (GMT+08:00) 2018-06-10 14:59:13

  Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai SCO umefungwa leo huko Qingdao, mashariki mwa china.

  Rais Xi Jinping wa China ametangaza kuwa, Kyrgyzstan itakuwa nchi mwenyekiti wa zamu wa jumuiya hiyo, na pande mbalimbali zitaiunga mkono katika utekelezaji wa majukumu yake, ikiwemo kuandaa mkutano wa kilele wa mwaka kesho.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako