• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shambulio la waasi laua polisi 13 kusini mwa Afghanistan

    (GMT+08:00) 2018-06-10 19:06:15

    Polisi 13 wameuawa kufuatia mashambulizi yaliyofanywa na wapiganaji wa kundi la Taliban katika kituo kimoja cha ukaguzi wa usalama katika wilaya Arghandab iliyoko kwenye jimbo la kusini la Afghanistan la Kandahar.

    Taarifa hiyo pia hiyo iliyotolewa na ofisa mmoja wa polisi kutoka Kandahar inasema, leo asubuhi kundi la waasi wa Taliban limelipua kituo cha ukaguzi cha Nehgan, na ikithibitika kuwa vifo vya askari 13.

    Awali, shambulio kama hilo dhidi ya vikosi vya usalama liliripotiwa kuua wanausalama 17 katika wilaya ya Shindand katika jimbo la magharibi ya Afghanistan la Heart.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako