• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ikulu ya Marekani yamlaani Trudeau kutokana na kauli yake kuhusu mkutano wa G7

    (GMT+08:00) 2018-06-11 08:49:49

    Maofisa mawili waandamizi wa Ikulu ya Marekani wamemlaani waziri mkuu wa Canada Bw. Justin Trudeau kutokana na kauli aliyotoa kwenye mkutano wa kilele wa kundi la nchi saba G7 uliofungwa Jumamosi. Bw. Trudeau alitangaza siku hiyo kuwa nchi zote wanachama wa G7 zimesaini taarifa ya pamoja, lakini pia ameutaja ushuru wa Marekani kuwa "ni udhalilishaji" na kusema Canada "haitaki kulazimika kufanya chochote". Saa chache baada ya kauli hiyo kutolewa, rais Donald Trump wa Marekani amesema kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa amemwagiza mwakilishi wa biashara wa Marekani kutosaini taarifa ya pamoja ya G7, kutokana na kauli hiyo ya makosa aliyotoa Justin Trudeau, na pia amemtaja Bw. Trudeau kuwa "dhaifu na haaminiki".

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako