• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran kujenga mfumo wa msukumo wa nishati ya nyuklia

    (GMT+08:00) 2018-06-11 08:50:50

    Mkurugenzi wa Shirika la nishati ya atomiki la Iran Bw. Ali Akbar Salehi amesema nchi yake imefanya maandalizi ya kujenga mifumo wa msukumo wa nishati ya nyuklia. Amesema mradi huo ni mkubwa na itachukua muda kuukamilisha, na sasa bado wako kwenye kipindi cha maandalizi, na wataalamu wengi wa shirika hilo wameshiriki kwenye utafiti wa mifumo itakayotumiwa kwenye usafiri baharini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako