• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mpira wa Wavu, Rwanda: Gisagara Wanaume na KCB Wanawake ndiyo mabingwa wa mashindano ya kumbukumbu

    (GMT+08:00) 2018-06-11 09:59:10

    Timu ya Gisagara ndiyo mabingwa wapya wa michuano maalum ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda GMT, baada ya ushindi iliopata kwenye mechi ya fainali dhidi ya timu ya REG katika uwanja wa ndani wa Amahoro mjini Kigali.

    Gisagara ilishinda kwa seti tatu mfululizo yenye alama 25-23, 25-19 na 27-25. Kwa upande wa wanawake timu ya KCB iliwafunga mabingwa watetezi APR kwa kwa seti ya 3-0.

    Mabingwa wa pande zote mbili walishinda kombe, medali pamoja na fedha Faranga za Rwanda milioni 1 kila mmoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako