• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Michezo, Kenya: Rais wa zamani wa Marekani kufungua kituo kikubwa cha michezo

    (GMT+08:00) 2018-06-11 09:59:32

    Julai 16 mwaka huu, Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama anatarajiwa kuongoza ufunguzi wa kituo kikubwa cha michezo katika kijiji cha K'Ogelo katika kaunti ya Siaya nchini Kenya atakapofanya ziara yake nchini humo.

    Kituo hicho chenye hadhi ya kimataifa, kimeasisiwa na dada wa Barack Obama Bi. Auma Obama na kinaitwa Sauti Kuu Sports kina uwanja wa mpira wa miguu, uwanja wa mpira wa kikapu, mpira wa pete, mpira wa wavu na baadhi ya michezo ya ndani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako