• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Masumbwi: Bondia Tyson Fury arejea kwa ushindi mnono

    (GMT+08:00) 2018-06-11 09:59:56

    Kwa kile kinachoweza kuonekana kama ni kurejea kwa kishindo mchezoni, bondia Tyson Fury wa Uingereza ameshinda pambano lake la kwanza dhidi Sefer Seferi wa Uswisi.

    Fury ambaye hilo lilikuwa pambano lake la kwanza baada ya kukaa nje ya ulingo kwa miezi 32 kutokana na kutumikia adhabu alishinda kwa technical knock katika raundi ya nne baada ya mpinzani wake kujiondoa.

    Baada ya pambano hilo, Fury sasa anajiandaa na pambano jingine dhidi ya mwingereza mwenzake Tony Bellew litakalofanyika mjini Belfast nchini Ireland Agosti 18.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako