• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tennis: Nadal ashinda ubingwa wa Ufaransa

    (GMT+08:00) 2018-06-11 10:00:12

    Rafael Nadal jana ameshinda taji lake la 11 la michuano ya mikubwa ya Ufaransa baada ya kushinda kwenye mechi ya fainali dhidi Dominic Thiem wa Austria mjini Paris.

    Ubingwa huo sasa, kwa Rafael Nadal ni wa 17 kwa michuano mikubwa, na katika michuano ya Ufaransa tangu aanze kushiriki huu ni ushindi wa 83 katika mechi 85 alizocheza.

    Mechi hiyo ya Fainali ilishuhudiwa na wapenda michezo wengi akiwemo nyota wa zamani wa mpira wa miguu Zinedine Zidane.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako