• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Trump awasili Singapore kuhudhuria mkutano kati yake na Kim Jong-Un

    (GMT+08:00) 2018-06-11 10:27:00

    Rais Donald Trump wa Marekani amewasili Singapore kwa ajili ya mkutano unaotarajiwa kufanyika kesho kati yake na kiongozi wa Korea Kaskazini Bw. Kim Jong-Un.

    Taarifa iliyotolewa Jumamosi na wizara ya mambo ya nje ya Singapore inasema Bw. Kim Jong-Un pia amewasili nchini humo. Hii itakuwa ni mara ya kwanza katika historia kwa viongozi wa nchi hizo mbili kukutana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako