• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Bidhaa bandia zilizonaswa zinakadiriwa kufika shilingi milioni 48

  (GMT+08:00) 2018-06-11 20:30:16
  Vifaa vya ujenzi wa paa za nyumba vyenye thamani ya zaidi y ash milioni 46 zilikuwa miongoni mwa vitu vilivyopatikana mwishoni mwa wiki katika operesheni ya serikali ya kunasa bidhaa za bandia.

  Mamlaka ya Mapato ya Kenya imesema bidhaa gushi hazikubaliki nchini.

  Meneja wa utekelezaji wa Shirikisho la kupambana na bidhaa bandia Linsey Kipkemoi amesema nchi inaumia na bidhaa bandia ambazo hazipaswi kuwa kwenye soko.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako